• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

RC MALIMA ATOA WITO KWA WADAU KUSAIDIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO

Posted on: June 28th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amewaomba wadau mbalimbali wa sekta za umma na binafsi kuendelea kutoa misaada yao ya hali na mali kwa lengo la kuwasaidia na kuwafariji waathirika wa mafuriko yaliyotokea takribani Halmashauri zote za Mkoa wa Morogoro.


Mhe. Malima ametoa wito huo Juni 28, 2024 wakati akipokea vifaa mbalimbali kutoka kwa Taasisi isiyo ya kiserikali ya The Islamic Foundation kwa ajili ya waathirika  hao ikiwemo Nguo, Mafuta, Magodoro, Mashati na Madaftari kwa ajili ya wanafunzi pamoja taulo za kike.

"...tunawashukuru ndugu zetu hawa lakini tunatoa wito kwa ndugu zetu wengine kuiga mfano huu wa Islamic Foundation, bado Morogoro mahitaji ni makubwa..." Amesema Mhe. Malima 

Aidha, Mkuu huyo wa Mkoa amesema The Islamic Foundation wanapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa kutoa msaada wa Vifaa mbalimbali kwa waathirika na kubainisha kuwa taasisi hiyo imekuwa mstari wa mbele katika masuala ya kijamii hususan ushirikiano waliouonesha wakati wa athari za mvua za El nino.

Kwa sababu hiyo, Mhe. Adam Malima amewataka watendaji wote ngazi ya Halmashauri hadi kijiji kugawa misaada hiyo kwa utaratibu uliopangwa kulingana na tathmini itakayofanyika lengo ni msaada huo kuwafikia walengwa na si vinginevyo.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa The Islamic Foundation Sheikh. Arafat Badru amesema wamepeleka msaada huo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa sababu wameona kuwa hapo ndipo mahali sahihi na salama kwa msaada wao kuwafikia walengwa na kwamba msaada huo una thamani ya takrabani shilingi 30 Mil.



Mwisho

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • Dkt. Ashatu Kijaji aitaka TAWA kuongeza ubunifu wa kutangaza vivutio

    November 24, 2025
  • RC MALIMA AWASHUKURU VIONGOZI WA DINI, WANA MOROGORO WOTE

    November 04, 2025
  • KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, RC MALIMA ASEMA MOROGORO IKO SHWARI, AHIMIZA WANANCHI WALIOJIANDIKISHA KWENDA KUPIGA KURA

    October 28, 2025
  • Morogoro kuimarisha ushirikiano na Zanzibar katika nyanja ya kilimo

    October 16, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255719112299

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.

  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AERO88
  • YAMITOTO
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • YAMITOTO
  • Toto Slot Gacor
  • AXL777
  • AERO88
  • AXL777
  • Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto Online
  • Situs Toto
  • KOI200
  • DORA77
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Toto
  • Toto
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • slot gacor
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • slot gacor
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • situs toto
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • situs toto
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • situs toto
  • dora77
  • situs toto
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77