• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Nidhamu imetufanya tuibuke washindi - Ngalaliji.

Posted on: September 7th, 2024

Kocha wa timu ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) mpira wa kikapu upande wa wanaume Bw. Alfred Ngalaliji, amesema NIDHAMU na UTULIVU uwanjani vimefanya timu yao kuibuka na ushindi dhidi ya wapinzani wao timu ya Polisi kwa kuwachapa magoli  57 kwa 45 na hivyo kuwa washindi kwenye mchezo huo wa kwanza kwao.

Bw. Ngalaliji amebainisha hayo Septemba 7, 2024 wakati wa mechi yao ya kwanza ya mashindano ya michezo ya majeshi nchini, kwenye mechi yao ya mchezo wa mpira wa kikapu uliofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoinne (SUA) kilichopo  mkoani Morogoro.

Akizungumza mara baada ya mchezo huo kumalizika, kocha huyo amesema, Mchezo kati yao na Polisi ulikuwa mgumu hatua za awali lakini baada ya kusoma mchezo huo vizuri pamoja na mbinu zao walilazimika kubadilisha mbinu na kufanikiwa kuwamudu na kuibuka washindi kwenye mchezo huo.

"..kama kawaida yetu nidhamu ndiyo imetufanya tufanye vizuri kwenye mchezo huu, na tumejipanga kuhakikisha tunafanya vizuri zaidi kwenye mashindano haya ya BAMMATA kwa upande wa Mpira wa Kikapu na ubingwa lazima uchukuliwe na JKT.." amesema Afred Ngalaliji.

Aidha, amesema wataendelea na kichapo kwa yoyote atakayekuja mbele yao kwa sababu wanatimu nzuri ambapo amebainisha kuwa matarajio ni kuchukua ubingwa kwenye michezo mbalimbali huku akitamba kuwa wamezoea kuishi kwenye nafasi ya kwanza, na kuwatahadharisha wapinzani wao kuwa waangalie nafasi ya pili au nafasi nyingine lakini nafasi ya kwanza ni ya JKT.

Michezo ambayo mpaka sasa JKT imeshinda ni pamoja na mchezo wa Mpira wa Kikapu (Basketball) upande wa wananume, mchezo wa Mpira wa Mikono wa wanawake (Handball).

ambapo katika mchezo wa mpira wa mikono JKT iliibuka na ushindi wa magoli 47 dhidi ya Magereza iliyoambulia magoli 7 pekee.

MWISHO.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • RC MALIMA ATAKA VYAMA VYA USHIRIKA VYA WAFUGAJI

    May 15, 2025
  • Vyama vya Ushirika Vyatakiwa Kutumia TEHAMA

    May 14, 2025
  • ZINGATIENI SHERIA, KATIBA NA KANUNI YA VYAMA VYENU - MUTUNGI.

    May 14, 2025
  • WANAFUNZI 214 WA KIDATO CHA KWANZA SEKONDARI ZA MONGOLA, MGETA WAPEWA MICHE 2140 YA MIKARAFUU

    May 13, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.