• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Madaktari Morogoro Wapongezwa kwa utendaji kazi wao mzuri.

Posted on: April 12th, 2025

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Bw. Ismail Ali Ussi amempongeza Mganga Mkuu wa hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Morogoro Dkt. Daniel Nkungu pamoja na wahudumu wengine wa hospitali hiyo kwa utendaji kazi wao mzuri na jitihada wanazotoa katika kuwahudumia wagonjwa hospitalini hapo na kuelezwa kwamba  wanaitendea haki taaluma yao.


Pongezi hizo zimetolewa na kiongozi huyo Aprili 12, 2025, wakati wa uzinduzi wa jengo la wagonjwa wa nje pamoja na ofisi za utawala, lenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 505, lililopo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.


Aidha, Kiongozi huyo amewataka watumishi wa sekta ya afya kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi kwani amesema Serikali imeweka mikakati madhubuti ya kuboresha mazingira rafiki kwa wagonjwa na watumishi, sambamba na kuboresha miundombinu ya utoaji huduma katika sekta ya afya.


Katika hatua nyingine, Bw. Ussi ametoa shukrani kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa juhudi zake za kuboresha miundombinu mbalimbali, ikiwemo sekta ya afya, ili kutatua changamoto zilizokuwa zikiwakabili wananchi wa Mkoa huo.


Kwa upande wake, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mhe. Abdul Aziz Abood, amesema jengo hilo limeongeza ufanisi katika utoaji wa huduma za afya kwa sababu hiyo huduma afya kwa wananchi wa morogoro imeimarika na hakuna haja ya wagonjwa wengi kupelekwa Dar es Salaam au Dodoma kufuata huduma ya afya kwa kuwa vipimo vyote muhim vipo katika hospitali hiyo ikiwemo kipimo cha CT Scan.


Mwisho

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • RC MALIMA AKEMEA ULANGUZI WA MAZAO.

    May 08, 2025
  • WAAJIRI MOROGORO WATAKIWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYA KAZI WAO.

    May 01, 2025
  • SERIKALI KUJENGA BARABARA YA LUPILO – MALINYI KWA KIWANGO CHA LAMI, Bil. 18 ZATOLEWA KUJENGA MADARAJA MAWILI.

    April 25, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WATAJA TUNU NNE ZA TAIFA.

    April 19, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.