Mwananchi yeyote anaetaka kuonana na Mkuu wa Mkoa katika masuala ya Kiofisi anatakiwa awasiliane na Msaidizi wake (Katibu wa Mkuu wa Mkoa) kwa kupitia namba ya simu 0682 351 136. Hapa utapata maelekezo zaidi na kupangiwa siku ya kuonana na Mkuu wa Mkoa. Inashauriwa kumuona Mkuu wa Mkoa baada ya kupitia ngazi zote husika ambazo ni:-
Haki Miliki © 2020 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.