MPINA ATOA MIEZI MITANO KWA HALMASHAURI KUBORESHA MINADA NA MACHINJIO
Waziri waMifugona Uvuvi Mhe.Luhaga Mpina amezitaka Halmashauri zotenchini kuboreshana kukarabati Machinjio,Milaro,Malambo,Majosho pamoja na minada ya Mifugo kwa kuweka huduma mhimu kama vile vyoo,umeme na sehemu za kuuzia vyakula ili kufanya minada ya mifugo kuwa ya kiasasa na yenye tija.
Aidha Mpina alisisitiza kuwa Halmashauri itakayoshindwa kufanya hivyo serikali itasitisha ukusanyaji wa mapato unaofanywa na halmashauri na kuikabidhi serikali kuukukusanya mapatohayo “Tumetoa miezi mitano tu kwa Halmashauri zote nchini kukarabati miundombinu ya Majosho, Malambo,Machinjio pamoja na Minada yote ikarabatiwa iwe bora na yenye huduma zote zamuimu” Alisema Mpina.
Katika hatua nyingine Mpina alitoa siku saba kwa Makatibu wakuu wa wizara za Mifugo naUvuvi na Kilimo kuueleza ni kwa nini Mbegu za mazao zinauzwa kwa bei ghari ambayo inafikia shilingi6,000/= kwa kilo moja na uhamilishaji wa mifugo kuwa na bei kubwa ambapo amesema ng’ombe mmoja ana hamilishwa kwazaidi ya shilingi 22,000/=
Sikuchachezanyumakatikakipindihiki cha maoneshoMkuuwaMkoawaMorogoroDkt. Kebwe Stephen Kebwe , alisemakunamaendeleomakubwa ya ukusanyajiwamapato ya Nanenane Kanda ya MasharikiwakatihuuambapoSekretarietizaMikoazinaendeshanakusimamiamaoneshohayo ya Nanenane.
Dkt. KebwealisematangumwakajanaSekretarietizaMikoazilipokabidhiwakuendeshamaoneshohayokwa Kanda ya Masharikikumekuwanaongezeko la ukusanyajiwamapatowakatiwamaoneshoambapomwaka 2017 takribanishilingi Mil. 200 zilikusanywawakatimwaka 2016 ambapomaoneshohayoyalikuwayanaendeshwana TASO zilikusanywashilingiMil.70 tu.
Kwa niaba ya kamatiya maadaliziya nanenanekanda ya masharikiKatibuwakamatihiyoBw. ErenestiMkongoamesemachangamotozotezilizojitokezamwakahuuzitafanyiwakaziiwanipamojanakuhimizawadaukujengamabanda ya kudumupamojanakuzibasehemuzawazikuzungukauwanjawamaoneshoilikuzibamianya ya mapatoinayopoteakutokananawatukuingiabirakutoakingilio.
SambambanahayoBw.MkongoamesemakamatiitashirikiananauongoziwaMkoanataasisizakekatikakufanikishauboreshajibwawa la Minduilikutatuachangamoto ya majikatikauwanjawamaoneshowa nanenane.
Maoneshohayo ya nanenane ya 25 kanda yamasharikimwakahuuyameshirikishawadau 560 wamaoneshohayoikilinganishwanawadau 477walioshirikimwaka 2017.
Haki Miliki © 2020 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.