Washiriki wa kikao cha Mrejesho wa Bajeti, wakisikiliza kwa makini mada zinazowasilishwa, kutoka kushoto ni Ester Lauwo Katibu Tawala Msaidizi Huduma za Jamii, Dr. Frida Mokiti Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na kulia kabisa ni Bibi. Fatuma Kilimia Afisa Elimu Mkoa wa Morogoro. |