JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
     
 
     
MATUKIO MBALIMBALI
 
[ Nyumbani ]
 
 

 
 

Eng. Petro Kingu Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro (Katikati), kulia kwake ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na kulia kabisa ni Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro wakiwa wameongozana na viongozi wengine wakati wakipokea ugeni wa Mh. Rais Ikulu ndogo Morogoro.

 
   
 

Mh. Said Mwambungu Mkuu wa Wilaya ya Morogoro (Mwenye suti) akiwa amesimama na viongozi na wanachama wa chama cha mapinduzi kutoka kushoto ni Aziz Abood (MNEC), Dr. Omary Mzeru, Katibu wa CCM Wilaya ya Morogoro na Kulia kabisa Prof. Romanus Ishengoma

 
   
 

Wafanyakazi mbalimbali wa Serikali Mkoani Morogoro, wakiwa wamejipanga tayari kwa kumpokea Rais mara baada ya kuwasili Ikulu ndogo Mjini Morogoro Tarehe 29/07/2010.

 
   
 
Wanachama wa CCM wakiwa na wafanyakazi mbalimbali wa Serikali Mkoa wa Morogoro wakiwa wanabadilishana mawazo wakati wanasubiri ugeni wa Rais uwasili Ikulu ndogo Morogoro.
 
   
  Makamanda wa Jeshi Mkoa wa Morogoro wakiwa wamekaa na baadhi wa Wafanyakazi wa Serikali Mkoa wa Morogoro Ikulu Ndogo.  
         
 
[ Nyumbani ]
Rudi juu
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, TEL: 023 - 2604237/2600973, FAX: 023 2601000