|
||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||
Malengo ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi ni kusambaza huduma ya maji kwa asilimia 90 kwa wakazi wa mjini na 65 ya wakazi wa vijijini.Mkoa umefanikiwa kutoa huduma ya maji safi na salama kwa asilimia 63.49 kwa wakazi wa vijijini na asilimia 93 kwa wakazi wa Manispaa. Jedwali laTakwimu za mafanikio Sekta ya Maji.
Chanzo:Taarifa za Wilaya 2005-2008 Hadi kufikia 2008 vipo vituo vya maji 4,138 ambapo vituo 3,317 ndio vinatoa huduma ya maji kwa wananchi. Jedwali la Idadi ya vituo vya Maji Mkoani Morogoro 2008
Chanzo:Taarifa za Wilaya 2005-2008 |
|
||||||||||||||||||||||||
| Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, TEL: 026 - 2604237/2600973, FAX: 026 2601000 | ||