DIRA ...
Dira ya Mkoa ni kuwa Taasisi ya Umma iliyo na uwezo wa kusimamia Sheria za Nchi, Kanuni na Taratibu za uendeshaji wa Nchi kwa lengo la kuleta maendeleo kwa wananchi wetu Kiuchumi, Kijamii na Kiutamaduni.
DHAMIRA Dhamira ni kuwa Taasisi yenye uwezo na ujuzi endelevu, ili kutoa huduma za ushauri wa kitaalamu kwa mamlaka za Serikali za Mitaa na Wadau wengine wa Maendeleo, kwa kuzingatia Sera, Sheria na Miongozo ya Serikali kwa minajili ya kutoa huduma bora kwa wananchi.
|