|
||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||
WanawakeJumla ya wanawake 18,077 wamejiunga na SACCOS kufikia Desemba, 2008 kutoka idadi ya wanawake 9,044 mwaka 2005, hii ni sawa na ongezeko la asilimia 99.9. Kushiriki kwa wanawake katika SACCOS kumepanua wigo wa wanawake kushiriki katika shughuli za uzalishaji na kuweza kujipatia mtaji wa kuendeshea biashara zao na kuondokana na umasikini wa kipato.
|
|
||||||||||||||||||||||||
| Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, TEL: 026 - 2604237/2600973, FAX: 026 2601000 | ||