JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
   
     
     
 
     
OFISI YA MKUU WA WILAYA ULANGA
 
Halmashauri < [ Nyumbani ]
 
 
 
Utangulizi
 

Wilaya ya Ulanga ipo kusini mwa Mkoa na ya kwanza kwa ukubwa kimkoa yenye eneo la kilometa za mraba 24,560 ambazo ni sawa na hekta 2, 456,000 pia Wilaya ni ya sita kwa ukubwa kitaifa. Wilaya ipo Kusini mwa Mkoa huu, kwa upande wa Mashariki imepakana na Wilaya ya Liwale katika Mkoa wa Lindi. Upande wa Kusini imepakana na Namtumbo katika Mkoa wa Ruvuma na Kaskazini Wilaya jirani ya Kilombero. Makao Makuu ya Wilaya ni Mahenge ambao upo umbali wa kilomita 312 kusini mwa Mji wa Morogoro.

 
Utawala
Mkuu wa Wilaya ya Ulanga ni Dkt. Rajab M. Rutengwe
 
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ulanga ni Bw. Alfred Shayo
 
Wilaya ina jumla ya Tarafa 5, ambazo zinaongozwa na makatibu Tarafa
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
     
     
 
         
 
Halmashauri < [ Nyumbani ]
Rudi juu
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, TEL: 026 - 2604237/2600973, FAX: 026 2601000