JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
     
 
     
OFISI YA MKUU WA WILAYA KILOMBERO
 
Halmashauri < [ Nyumbani ]
 
 
 
Utangulizi
 

Wilaya ya Kilombero imepakana na Wilaya za Kilosa na Kilolo; na upande wa Kusini umepakana na Wilaya ya Ulanga. Kwa upande wa Mashariki imepakana na Wilaya ya Morogoro Vijijini na Magharibi imepakana na Wilaya za Njombe na Mufindi.

Hali ya hewa ya Wilaya hii ni ya joto mithili ya pwani kwa wastani wa 26 o – 32 o C . Wilaya ina vipindi viwili vya mvua ambavyo ni mvua za vuli na mvua za masika. Mvua za vuli huanza kunyesha mwezi Novemba na kuishia miezi ya Januari au Februari. Mvua za masika huanza mwezi Machi na kwisha mwezi Mei au Juni kila mwaka. Wastani wa mvua ni kati ya milimita 1200 hadi 1600.

 
Utawala
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero ni Eng. Evarist Ndikilo ,
 
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilombero ni Bw. E. T. Mmbagga
 
Wilaya ina jumla ya Tarafa 5, ambazo zinaongozwa na makatibu Tarafa
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
     
     
 
         
 
Halmashauri < [ Nyumbani ]
Rudi juu
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, TEL: 026 - 2604237/2600973, FAX: 026 2601000