JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
     
 
     
OFISI YA MKUU WA WILAYA MOROGORO
 
Halmashauri < [ Nyumbani ]
 
 
 
Utangulizi
 

Wilaya ya Morogoro ni kati ya Wilaya 5 za Mkoa wa Morogoro. Wilaya ipo kaskazini mashariki ya Mkoa wa Morogoro, kati ya Latitudo 8°00' na 6°45' kusini mwa ikweta na pia kati ya Longitudo 37°00' na 38°30' Mashariki. Wilaya imepakana na Mkoa wa Pwani kwa upande wa mashariki, na Wilaya ya Kilombero upande wa kusini na upande wa magharibi na kaskazini imepakana na Wilaya ya Mvomero.

 
Utawala
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro ni Bw. Said Thabit Mwambungu,
 
Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro ni Bw. B. Njovu
 
Wilaya ina jumla ya Tarafa 7, ambazo zinaongozwa na makatibu Tarafa
 
 
 
 
 
 
 
 
 
     
     
 
         
 
Halmashauri < [ Nyumbani ]
Rudi juu
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, TEL: 026 - 2604237/2600973, FAX: 026 2601000