|
||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||
UDHIBITI WA MAAMBUKIZO YA VVU NA UKIMWIMkoa unaendelea na mapambano dhidi ya UKIMWI kwa njia mbalimbali. Kuonyesha picha za Sinema ili kuhamasisha wananchi kote Mkoani kuanzia kipindi cha Desemba, 2008. Ushawishi wa kupima VVU toka kwa mtoa huduma. Kuzuia maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto, kuanzisha jumla ya vituo 57 vinavyotoa huduma hiyo. Jumla ya wajawazito 19,235 walipimwa afya zao katika mpango huo. Akina mama 633 wanaendelea kupata huduma ya ARV na jumla ya watoto 536 pia wanapata huduma ya ARV. Upimaji wa hiari; jumla ya watu 208,114 walijitokeza kupima kwa hiari sawa na asilimia 96.6 ya lengo halisi ambalo lilikuwa kuwapima watu 215,454.
Maambukizi ya UKIMWI yamepungua hadi kufikia asilimia 4.2 mwaka 2008 kutoka asilimia 5.4 ya mwaka 2005.Hii inaonesha kuwa kasi ya maambukizi imeshuka kwa asilimia 1.2 kimkoa. |
|
||||||||||||||||||||||||
| Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, TEL: 026 - 2604237/2600973, FAX: 026 2601000 | ||