UMBILE LA ARDHI
Umbile la ardhi ya Mkoa wa Morogoro linajumuisha milima ya Uluguru, Ukaguru, Nguru, Udzungwa na Mahenge. Mabonde na tambarare yamegawanywa na mito inayoanzia milimani. Baadhi ya mito hiyo ni Kilombero, Ruaha, Luwegu, Ruvu, Wami, Ngerengere, Mkindo na Mkondoa. Mito hiyo inafaa kutumika kwa kilimo cha umwagiliaji. Kwa ujumla, ardhi ya Mkoa wa Morogoro ni nzuri na inafaa kwa kilimo cha mazao karibu yote yanayolimwa hapa nchini. VIWANJA
Mwaka 2008 vilipimwa viwanja 8,960, ukilinganisha na viwanja 175 vilivyopimwa mwaka 2005. Pia vijiji vilivyopimwa mipaka vimefikia 458 (2008) ukilinganisha na 263 (2005). Vijiji vilivyobaki kupimwa mipaka ni 85 kati ya 543
Takwimu za utekelezaji sekta ya Ardhi
Shughuli |
Ongezeko (%) |
| |
2005 |
2008 |
Upimaji wa Viwanja |
1,757 |
8,960 |
40 9.96 |
Upimaji wa Mashamba |
23 |
105 |
356.52 |
Kutoa hatimiliki za ardhi za viwanja |
358 |
412 |
15.08 |
Kutoa hatimiliki za ardhi za mashamba |
|
74 |
|
Mipango ya matumizi bora ya ardhi |
71 |
101 |
42.25 |
Vijiji vilivyopimwa mipaka |
263 |
458 |
74.14 |
Chanzo:Taarifa za Wilaya 2005-2008
|