|
||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||
Vituo vya Kutolea HudumaMkoa una zahanati 288, vituo vya afya 33 na Hospitali 13. Vituo hivi vinamilikiwa na Serikali Kuu, Halmashauri, Mashirika ya Dini, Mashirika ya Umma na watu binafsi. Z ahanati 202 ni za Serikali na vituo 22 vya afya sawa na asilimia 35 na zipo katika kata 124. Mkoa unazo hospitali 3 za Halmashauri kati ya sita zinazohitajika. Halmashauri ya Mvomero inakamilisha makubaliano na hospitali ya Taasisi ya dini ya Turiani kuwa hospitali teule ya Wilaya. Vituo vya kutolea huduma za afya mwaka 2005 vilikuwa 280 ukilinganisha na mwaka 2008 ambapo vipo vituo 337 ongezeko likiwa asilimia 20.4. Jedwali la Vituo vya kutolea huduma za Afya na Umiliki Mkoa wa Morogoro
Chanzo: Taarifa za Wilaya 2005-2008 Jedwali la Vifo vya wanawake vitokanavyo na uzazi mwaka 2005 - 2007
Chanzo:Taarifa za Wilaya 2005-2008 Takwimu zinaonesha kwamba vifo vya akina mama vimeshuka toka 542 kwa kila akina mama 100,000 mwaka 2005 hadi 198 kwa kila 100,000 mwaka 2007. Huduma ya Chanjo.Jedwali la: Huduma za Chanjo kati ya 2005 na 2007
Chanzo:Taarifa za Wilaya 2005-2008
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||
| Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, TEL: 026 - 2604237/2600973, FAX: 026 2601000 | ||