Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizindua mbio za Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Aprili 18, 2016.
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Ndg George Jackson Mbijima akimkabidhi Mwenge huo Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe mara baada ya kuzinduliwa na Makamu wa Rais.
Jengo la utawala Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Stephen Kebwe ( wa kwanza kushoto) akikagua mabwawa yanayopokea maji machafu kutoka Hospitali ya St. Kizito ya Mikumi. Kulia kabisa ni Mkuu wa Wilaya ya Kilosa John Henjewele na katikati ni Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt. Frank Jac

Mkoa wa Morogoro

Mkoa wa Morogoro ni Mkoa wa pili kwa ukubwa nchini ukitanguliwa na Mkoa wa Tabora. Mkoa una eneo la kilometa za mraba 73,039. Eneo hili ni sawa na asilimia 7.7 ya eneo lote la Tanzania Bara, kati ya eneo hili Km2 2,240 ni eneo la maji. Mkoa umepakana na Mikoa ya Pwani na Lindi kwa upande wa Mashariki, Manyara na Tanga upande wa Kaskazini na kwa upande wa Magharibi umepakana na Mikoa ya Dodoma na Iringa. Upande wa Kusini unapakana na Mkoa wa Ruvuma. 

Hali ya Hewa

Mkoa hupata mvua mara mbili kwa mwaka. Mvua z...

Soma Zaidi

Habari & Matangazo

30/ 05/ 2016

Dkt Stephen Kebwe akishiriki usafi wa mazingira

Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt Stephen Kebwe akishiriki usafi...

30/ 05/ 2016

Harambee ya kupata fedha za matibabu ya dada Benadetha Msigwa

Dada Benadetha Msigwa (kushoto) mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzum...

30/ 05/ 2016

Wananchi Kijiji cha Mkindo

Wananchi Kijiji cha Mkindo Wilayani Mvomero wakimsikiliza kwa ma...

Habari Nyingine

Takwimu

  • Eneo la Mkoa = 73,039 (Km2)
  • Idadi ya Watu = 2,218,492
  • Wilaya = 6
  • Mitaa = 295
  • Vijiji = 673